Nina kibiashara cha mini super market sasa nataka kufanya biashara ya malipo kwa mtandao yaani mpesa,tigo pesa,eatel money na kuwa wakala wa luku,mwenye ujuzi na haya mambo anishauri nianzie wapi au nifanyeje
leseni ya biashara, id yako, TIN number, ukishakuwa na vitu hivi, tigo wanataka 1m Tshs, voda andaa 150,000 Tshs! Hizo zingine sina details, kwa msaada zaidi ni-pm!