Wakuu mi ni mhitimu wa kidato cha sita.
Nimeshndwa kwenda kwenye kambi nliyopangiwa kutokana na hali ngumu ya kimaisha, najsomesha hapa nlikuwa natafuta hela ya kuomba mkopo.
Bado wazazi wangu nao wananitegemea kwani ni wazee, naomba ushauri taratibu za kuahirisha!