Utaratibu wa kufuata kumiliki FARASI

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Kwema?

Wazee na mabibi, nina maswali kadhaa kwenu
1.Je farasi wanaruhusiwa bongo kutumika kama usafiri?
2.Taratibu gani ninatakiwa kufuata ili nami nimiliki farasi wangu?
3.Hapa bongo wanapatikana wapi, na kwa gharama gani?
4.Kama leseni inatakiwa, farasi wangu ninatakiwa kumkatia daraja lipi?
[emoji120]
 
Farasi ni mnyama kama wanyama wengine wa kufugwa tu...nenda kule polisi kwenye farasi nadhani utapata ambaye kishafunzwa kbs
 
Na mimi nahitaji. Mkuu ulete mrejesho ukifanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…