Utaratibu wa kufuata kupata cheti cha kuzaliwa

lendanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
375
Reaction score
280
Habari zenu wadau,naomba kuuliza ni hatua gani mtu asiyekuwa na cheti cha kuzaliwa anaweza fuata ili apate na gharama ni shi ngap kupata hicho cheti makao makuu na itachukua muda gani?,thanx kwa ushauri wenu ndugu!
 
sitti mtemvu angekuwa member humu ungepata majibu mujarabu sana!
 
Umri wako!
Kama ni mtoto wa under 11, bei ni Tshs 3500, TANGAZO LA KUZALIWA ama KADI YA KLINIK!
Muda ni wiki 1 kwa pale RITA!
 
Back
Top Bottom