Utaratibu wa kufungua maabara za binadamu na vifaa muhimu

Utaratibu wa kufungua maabara za binadamu na vifaa muhimu

occipito-frontalis

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
133
Reaction score
70
WanaJF doctors category naomba kufahamu kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia taratibu za kufanya usajili wa maabara za binadamu kwa kutumia NGOs na vifaa ambavyo ni muhimu kuanza navyo. Asanteni
 
Naombeni wanaofahamu mfanye kama mnapoteza mda kidogo kulijibu swala langu tafadhali
 
Back
Top Bottom