M marelo New Member Joined Jun 15, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Mar 29, 2015 #1 Wakuu naomba mnipe mwanga ni utaratibu gani wa kufuata ili niweze kufungua NGO, gharama na muda wa process nzima
Wakuu naomba mnipe mwanga ni utaratibu gani wa kufuata ili niweze kufungua NGO, gharama na muda wa process nzima
MSIMISEKI SENIOR JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 459 Reaction score 287 Mar 30, 2015 #2 marelo said: Wakuu naomba mnipe mwanga ni utaratibu gani wa kufuata ili niweze kufungua NGO, gharama na muda wa process nzima Click to expand... Harufu ya kukwepa kodi inanukia.....
marelo said: Wakuu naomba mnipe mwanga ni utaratibu gani wa kufuata ili niweze kufungua NGO, gharama na muda wa process nzima Click to expand... Harufu ya kukwepa kodi inanukia.....