N Njoka Ereguu JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 821 Reaction score 335 Sep 20, 2012 #1 Naombeni mwenye kufahamu utaratibu wa kuanzisha shule Tanzania kwa foreigners unakuwaje. Nahitaji kufahamu mwekezaji anahitaji kuwa na vitu gani ie land, capital, etc na utaratibu wa jumla.
Naombeni mwenye kufahamu utaratibu wa kuanzisha shule Tanzania kwa foreigners unakuwaje. Nahitaji kufahamu mwekezaji anahitaji kuwa na vitu gani ie land, capital, etc na utaratibu wa jumla.