K Kelams Member Joined Jan 9, 2024 Posts 14 Reaction score 26 Aug 18, 2026 #1 Habari zenu, Hivi huu utaratibu wa Bongo movies kuigiza kwa makundi mnauonaje? Unakuta filamu X ina waigizaji fulani. Filamu mbili tatu za mbele pia nazo waigizaji walewale. Hii imekaaje wakuu? Tutabadilika kweli?
Habari zenu, Hivi huu utaratibu wa Bongo movies kuigiza kwa makundi mnauonaje? Unakuta filamu X ina waigizaji fulani. Filamu mbili tatu za mbele pia nazo waigizaji walewale. Hii imekaaje wakuu? Tutabadilika kweli?
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 1,061 Reaction score 3,165 Aug 18, 2026 #2 Wamexico wanakuaga na huu mfumo unakuta filamu 2&3 waigizaji wale wale na watengeneza maokoto vizuri . Kuna mwigizaji mmoja maarufu hapa bongo alicopy huu mfumo baada ya kupata jina, movie 2&3 akaanza kuwatafuna wenzake
Wamexico wanakuaga na huu mfumo unakuta filamu 2&3 waigizaji wale wale na watengeneza maokoto vizuri . Kuna mwigizaji mmoja maarufu hapa bongo alicopy huu mfumo baada ya kupata jina, movie 2&3 akaanza kuwatafuna wenzake
K Kelams Member Joined Jan 9, 2024 Posts 14 Reaction score 26 Aug 18, 2026 Thread starter #3 Dkisaka said: Wamexico wanakuaga na huu mfumo unakuta filamu 2&3 waigizaji wale wale na watengeneza maokoto vizuri . Kuna mwigizaji mmoja maarufu hapa bongo alicopy huu mfumo baada ya kupata jina, movie 2&3 akaanza kuwatafuna wenzake Click to expand... π π Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa adui
Dkisaka said: Wamexico wanakuaga na huu mfumo unakuta filamu 2&3 waigizaji wale wale na watengeneza maokoto vizuri . Kuna mwigizaji mmoja maarufu hapa bongo alicopy huu mfumo baada ya kupata jina, movie 2&3 akaanza kuwatafuna wenzake Click to expand... π π Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa adui
Dkisaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2018 Posts 1,061 Reaction score 3,165 Aug 18, 2026 #4 Kelams said: π π Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa adui Click to expand... Yh ndo kinachoua soko la movie
Kelams said: π π Kwa staili hii waigizaji hawawezi kukua. Mwigizaji akipata opportunity nje ya kundi anakuwa adui Click to expand... Yh ndo kinachoua soko la movie