Varbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,121 Reaction score 885 Jun 15, 2014 #1 Wana JF bro wangu anakijana wake anamaliza darasa la saba mwaka huu sasa hajui utaratibu wa kupata nafasi kwenye shule ya Jitegemee ulivo na kwa ambae anauelewa na kitu hicho naomba msaada wenu...
Wana JF bro wangu anakijana wake anamaliza darasa la saba mwaka huu sasa hajui utaratibu wa kupata nafasi kwenye shule ya Jitegemee ulivo na kwa ambae anauelewa na kitu hicho naomba msaada wenu...