Wafilisiwe, halafu username ni ya kweli ankali?Hao TBS waliopo bandarini Ni Mabilionea
Vijana wametajirika Sana pale bila 300,000 gari haitoki
Duh! Mshahara wa kima Cha chini mtu anapewa rushwa kwa dakika tuu!Vijana wametajirika Sana pale bila 300,000 gari haitoki
Tusio TBS tunaonekana wavivuDuh! Mshahara wa kima Cha chini mtu anapewa rushwa kwa dakika tuu!
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Mhe. Rais tunakushukuru kwa tamko lako kuwa ukaguzi wa magari utarudi kama zamani. Naomba amri hii ingeanza hata leo.
TBS wamekuwa wanatumia nafasi zo vibaya kwa kuwatesa wananchi wanapofuata magari yao Bandarini.
Asilimia karibu 98 ya wateja hawajatoka bure bila kuambiwa kuwa gari yako ina kasoro na baada ya kuambiwa hivyo lazima ujiongeze.
Kwa kweli wametesa sana wateja. Fedha ambazo zimeingia mifukoni mwao tangu utaratibu huu uanze zinaweza kujenga vituo vya Afya hata mia moja.
Mhe. Rais binafsi ninashauri umuwajibishe Director General wa TBS. Yeye alikuwa anajua mchezo mzima na kwa nini hakuwachukulia hatua wafanyakazi waliokuwa wanafanya mchezo huu. Nchi hii sijui tuna matatizo gani.
Maslai duniBongo watumishi wengi ni wanaishi kwa pesa za rushwa.