Utaratibu wa kulipa kodi baada ya miezi 6 ulishaanza?

Utaratibu wa kulipa kodi baada ya miezi 6 ulishaanza?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Wakuu kwenye bajeti iliopitishwa walipendekeza biashara zifunguliwe ila makadirio mtu ataanza kulipa kodi ya serikali baada ya miezi 6. Naomba kujua kama tayari utaratibu huu unafanyika ili tuanze kukimbiza mabiashara fasta.
 
Back
Top Bottom