maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 Jul 26, 2019 #1 Wakuu kwenye bajeti iliopitishwa walipendekeza biashara zifunguliwe ila makadirio mtu ataanza kulipa kodi ya serikali baada ya miezi 6. Naomba kujua kama tayari utaratibu huu unafanyika ili tuanze kukimbiza mabiashara fasta.
Wakuu kwenye bajeti iliopitishwa walipendekeza biashara zifunguliwe ila makadirio mtu ataanza kulipa kodi ya serikali baada ya miezi 6. Naomba kujua kama tayari utaratibu huu unafanyika ili tuanze kukimbiza mabiashara fasta.