Mkuu nafikiri kama mimemwelewa vizuri anataka kumkomboa mtoto kwa kuwa alimtelekeza.Yaani hakuwa anamhudumia mwanae kwa lolote.Sasa umefika muda anataka akae naye.Unamkomboa kweni ametekwa? We fata mtoto wako na wakikataa muache akikua atakuja,maswala ya kumtolea mtoto wangu mwenyewe pesa binafsi siliafiki
Mchaga
Nimekosea kuuliza swali vizuri,
Hata hivyo nilikuwa na maana kuwa uzoefu unaonesha kabila la mama wa mtoto ndilo lenye kuonesha ni namna gani kimila mtoto anaweza kukombolewa.
Kwa sasa mtoto ni wa ujombani sasa ili arudi kwa baba yake taratibu ndiyo hutegemea kule ujombani wanautaratibu gani!
Ni kama wakati wa kutaka kutoa mahali au kuoa hutegemeana na kabila la mwanamke.
Kwa hiyo muulize yeye huyo ulozaa nae I Hawa kama siyo mwaminifu atafanya kukukomoa kukutajia gharama kubwaaa.
Anzia ustawi wa jamii, ofisi ya wilaya husika,baaba ya kuwaeleza watakupa utaratibu mzima ukoje,ni rahisi sana mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto ana umti wa miaka 28 wa kike ameshakuwa mkubwaPia inategemea Huyo mtoto anaumri gani?
Sababu mfano unapokomboa mtoto wa umri wa chini ya miaka 5 haiwezekani kuwa gharama sawa na anaekomboa mtoto aliyemaliza chuo kikuu kwa kusomeshwa upande wa mama !
Lakini uzoefu kwa mila za makabila mengi gharama huwa siyo kubwa sana!
Ahsante nimekuelewa vizuri sanaMkuu nafikiri kama mimemwelewa vizuri anataka kumkomboa mtoto kwa kuwa alimtelekeza.Yaani hakuwa anamhudumia mwanae kwa lolote.Sasa umefika muda anataka akae naye.
Nashauri afike kwa walezi au wazee wa anayemlea mtoto watampa utaratibu.Sidhani kama kuna gharama yoyote japo jiongeze hata na chochote kitu ukienda kwa mtoto ni hayo tu
ok ahsante sana kwa maelezo yako nimekuelewa sana, wala hukukosea kuuliza, ila sasa niulize kitu kwa maana hiyo kumkomboa inakuwa sawa na kutoa mahari si ndio maana yake.
Ndio. Lakini unamtolea mahari mtoto tu sio mama yakeok ahsante sana kwa maelezo yako nimekuelewa sana, wala hukukosea kuuliza, ila sasa niulize kitu kwa maana hiyo kumkomboa inakuwa sawa na kutoa mahari si ndio maana yake.