Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

Joined
Jul 8, 2020
Posts
17
Reaction score
21
Kwanza kabisa natanguliza shukrani
Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata vielelezo vilivyo kwenye faili la kesi.Asante
 
Kwanini unataka kufungua case upya?
 

Samehe, endelea mbele, itakusaidia
 
Hii Elimu imfikie asije sema yangu...


Umeteuliwa kuongoza Wizara Mama ya Shimo lisilojaa - Kijana aliyechahuliwa kajenga nyumba nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…