Utaratibu Wa kuomba Msamaha wa Kodi Kwa Vyombo vya Usafiri Kwa Watumishi

Tatizo hapo sio kuimport duty kipengele kinachosumbua pale kwenye CIF ya tozo ya TRA ukichukua gar ya mwaka 2011 inakuwa bei juu na CIF inakuwa juu utatolewa import duty tax ambayo kimsingi haitofautina na yule anayeagiza gari ya miaka ya nyuma bila exemption
 
Kuna scenario hapo. Hii inahusu wanaonunua gari kuanzia mwaka 2010 kwa mwaka huu wa 2019. Kuna excise na import utafaidi. Utaepuka uchakavu kidogo kwa mwaka 2010 na miaka ya mbele hakuna uchakavu. Lakini gari za miaka hii ni expensive. Kwahiyo ukinunua utapata gari ambazo ni modern kiasi. Kumbuka hiyo kodi utalipa ukimuuzia mtu mwingine na ukitaka kununua nyingine kwa msamaha.
Siku ya mwisho, kuna saving km lengo litakuwa ni kununua gari ya miaka ya karibuni.
 
Shida ya gari ya exemption huja pale unapotaka kuiuzaa utapata shida sana maana mpaka umueleweshe mtu akalipie ushuru au uamue uliuze gari kwa bei ya chini..sana
 
Kuna scenario hapo. Hii inahusu wanaonunua gari kuanzia mwaka 2010 kwa mwaka huu wa 2019. Kuna excise na import utafaidi. Utaepuka uchakavu kidogo kwa mwaka 2010 na miaka ya mbele hakuna uchakavu. Lakini gari za miaka hii ni expensive. Kwahiyo ukinunua utapata gari ambazo ni modern kiasi. Kumbuka hiyo kodi utalipa ukimuuzia mtu mwingine na ukitaka kununua nyingine kwa msamaha.
Siku ya mwisho, kuna saving km lengo litakuwa ni kununua gari ya miaka ya karibuni.
Niulize swali hivi hio exemption hua inapungua kutokana ana muda i.e depreciation au unatakiwa uje kulipa full kile ambacho hakijalipwa bila kujali depreciation?
 
Inapungua.
 
Back
Top Bottom