General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Niulize swali hivi hio exemption hua inapungua kutokana ana muda i.e depreciation au unatakiwa uje kulipa full kile ambacho hakijalipwa bila kujali depreciation?Kuna scenario hapo. Hii inahusu wanaonunua gari kuanzia mwaka 2010 kwa mwaka huu wa 2019. Kuna excise na import utafaidi. Utaepuka uchakavu kidogo kwa mwaka 2010 na miaka ya mbele hakuna uchakavu. Lakini gari za miaka hii ni expensive. Kwahiyo ukinunua utapata gari ambazo ni modern kiasi. Kumbuka hiyo kodi utalipa ukimuuzia mtu mwingine na ukitaka kununua nyingine kwa msamaha.
Siku ya mwisho, kuna saving km lengo litakuwa ni kununua gari ya miaka ya karibuni.
Inapungua.Niulize swali hivi hio exemption hua inapungua kutokana ana muda i.e depreciation au unatakiwa uje kulipa full kile ambacho hakijalipwa bila kujali depreciation?