Jendahyeka
Member
- May 17, 2021
- 46
- 122
Utaratibu ni mwepesi......subiri majuha wa sisiemu watakuletea sasa hivi!Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano
Yani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwez hata kuajiriwa na serikali ya zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben utaratibu wa kuwa Mzenji nile bata kotekote
Usiondoke jf, utapewa utaratibuKuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben utaratibu wa kuwa Mzenji nile bata kotekote.