Naomba kufahamu unapoongeza maji kwenye gari je injini inatakiwa iwe inanguruma au gari inatakiwa iwe imezimwaka kabisa au switch iwe on?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi tangu nimenunua hii IST naweka maji tuUliposema tu Maji. Ushakosea. Pale unaweka coolant sio Maji.
Soma uzi wa mkuu hapa kashauri tusiweke Maji:
Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]
Unatakiwa uweke coolant yake special (referring usermanual ya gari yako) hafu kwanini yapungue? Kuna shida.
Kikubwa pesa yako, sawa.
Nilikuwa na gari ya kizamani na sikuwahi kutumia maji alafu wewe unaweka maji kwenye IST?