Binafsi tangu nimenunua hii IST naweka maji tuUliposema tu Maji. Ushakosea. Pale unaweka coolant sio Maji.
Soma uzi wa mkuu hapa kashauri tusiweke Maji:
Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]
Unatakiwa uweke coolant yake special (referring usermanual ya gari yako) hafu kwanini yapungue? Kuna shida.
Kikubwa pesa yako, sawa.
Nilikuwa na gari ya kizamani na sikuwahi kutumia maji alafu wewe unaweka maji kwenye IST?