KERO Utaratibu wa kupata Kitambulisho cha NIDA, Ofisi ya Ubungo ni mbovu

KERO Utaratibu wa kupata Kitambulisho cha NIDA, Ofisi ya Ubungo ni mbovu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Walituma text kwa watu ambao hawajachukua Vitambulisho vyao wafike office za NIDA kabla ya tarehe 28 Februari, 2025 ila utaratibu wa kukipata umekuwa mbovu sana sana haufai na sio sahihi.

Ingekuwa kuhakiki namba na kumpatia mtu kitambulisho chake kulingana na kata / Mtaa aliojiandikishia ila cha ajabu kuna mistari zaidi ya 7 na haina maana yoyote kuchoshana tu.
 
Back
Top Bottom