Wakuu habari,
Hivi unapohitaji Passport kumbe ni Mpaka Uwe na safari, bila kuwa na safari hupati Passport, niliwahi pita pale Airport wakaniambia hivyo maafisa wa Uhamiaji, sasa hawaoni kama ni kuwaonea watu?
Hivi mfano inatokea mara paap umepata safari ghafla unatakiwa uondoke baada ya wiki 3/4 sasa hawaoni kuwa unaweza kukwama kwenye hizo Process?
Upate passport, uje Visa ubalozini. Kwanini watu wasiwe Huru kupata passport muda wowote cha msingi analipia.
Eti ukienda kutafuta passport wanakuuliza unaenda wapi, sasa kama sijawa na uhakika na sehemu ninayoenda nataka niwe nayo ili ikitokea naenda say Zambia au Egypt niweze kuokoa muda, natafuta tuu Visa.
Utaratibu Ukoje?