Ushawahi kujaribu hiyo mbinu na ikafanikiwa mkuuUjanja ni kuwa na kiduka cha thamani ya milioni 3 huku ukiwa na stoo ya milioni mia mbili
Kama Mimi tu mkuuMimi since January sijawalipa kodi yao, nawaza tu hiyo penalty mwisho wa mwaka itakuwaje
Kama Mimi tu mkuu
100,000 mkuuUna makadirio ya Tshs ngapi per quarter?
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana.
TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye ujanja janja huwezo toboa.
Nimefuatilia certficate kwa ajili ya biashara yangu, nimepata usumbufu sana hasa kwenye ukadiriaji, usipokuwa makini unakadiriwa kodi ambayo hutakaa uiweze hata kabla ya kuanza biashara.
Mazingira bado sio rafiki kwa kufanya biashara nchini.