La kuvunda halina ubani. Uchizi ni kujitakia tu; Hivi si wale jamaa flani wekundu walisema atii tupo tayari kuukosa ubingwa lakini tusifungwe na hawa Yanga? kweli yamekuwa na sasa sijui faida ni kufunga Yanga au kuwa bingwa? Hapo ni nani kafungwa? Aliyeutwaa ubingwa au aliyefungwa akatwaa uningwa na aliyefunga mabao yasiyo na mwelekeo na kuukosa ubigwa???