Utaratibu wa kupewa mkopo wa simu kwa mkataba

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,340
Reaction score
4,069
Nimekuwa nafuatilia comment nyingi za wazungu waliopo ulaya na US .
Wao huingia mkataba na mteja na ķuwa analipa kidogo kidogo kwa muda .na wengi hununua simu mpya kabisa kulingana na makubaliano .
Njia hii nimeipenda kwani hufanya mtu anunue blanded new phone kwa mkataba bila maumivu.
Hivi wenye mabenk hamlifikirii hili kulianzisha mkiingia mikataba na makampuni ya simu.
MAWAZO YANGU.
 
Yap ni nzur sana huu utaratibu kama ukija hapa kwetu bongo maana wengine hatuna hera ya kutoa cash kununua cm mpya ila kwa kulipa kidogo kidogo ni safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…