Uchaguzi 2020 Utaratibu wa Kupiga Kura kwa mtu asiyeweza kusoma na kuandika na mtu mwenye ulemavu wa macho

Uchaguzi 2020 Utaratibu wa Kupiga Kura kwa mtu asiyeweza kusoma na kuandika na mtu mwenye ulemavu wa macho

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Walemavu.png


Ibara ya 54 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 inamruhusu mtu anayeshindwa kupiga kura kutokana na sababu za ulemavu au kutojua kusoma na kuandika

(a) Kumchagua mtu yeyote anayemwamini, tofauti na afisa anayesimamia uchaguzi, kumsaidia kupiga kura

(b) [Mpiga kura mwenye ulemavu wa macho] kumuomba afisa anayesimamia uchaguzi kumsaidia kutumia karatasi maalum itakayomwezesha kumchagua mgombea anayeona anafaa kwa njia ya kupapasa
 
Upvote 0
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom