Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Chuo cha afya cha veta cha ualimu uwe specificNaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote.
Shukran
Chuo kitafundisha waalimu na wengine kasoro maswala ya afyaChuo cha afya cha veta cha ualimu uwe specific
Chuo cha ualimu hakichanganywi na fani nyingine hiyo ndo sera ya wizaraChuo kitafundisha waalimu na wengine kasoro maswala ya afya
Ok sawa tuachane na masomo ya ualimu mfano taaluma nyingine kama business administration, marketing...msaadaChuo cha ualimu hakichanganywi na fani nyingine hiyo ndo sera ya wizara
Pia nikihitaji kuwa na aina 2 ya vyuo cha ualimu na chenye taaluma zingine onakuwaje na utaratibu ukojeChuo cha ualimu hakichanganywi na fani nyingine hiyo ndo sera ya wizara
Nacte ip dodoma au dar na dar ofisi inayo husika ikowapAlooo mkuu naweka booking mapemaa, ukifungua kijana mchapakazi nipo hapa.
Lakini mkuu kwanini usiwasiliane na Nacte moja kwa moja? Sidhani kama utakosa pa kuanzia ukianzia hapo.
Ofisi kuu ipo dodoma. Kwa dar tumia google map utaipata, bila shaka we ni msomi hayo mambo madogo sip ya kuuliza na una bando.Nacte ip dodoma au dar na dar ofisi inayo husika ikowap
kama sijakosea walikuwa na ofisi pale mikocheni jirani na chuo cha kodi (tra) au pia jaribu magogoni pale wizara ya elimu.Nacte ip dodoma au dar na dar ofisi inayo husika ikowap