Utaratibu wa kusajili Kampuni ya Ulinzi.

Utaratibu wa kusajili Kampuni ya Ulinzi.

Hapo lazima ujue ni aina gan ya kampun unatak kufungua

Private company
Public company
Unlimited company
Company limted by shared
Company limted by guarantee
Statustory company

Halafu ukisha faham n aina gan make sure unakuwa na memorandum of association na Article of association..

Yaan nikiwa na maan katiba ya ndan ya kampun na katiba ya nje ya kampun ukitaka msaada zaid plz ukihitaj contact zangu its ok
 
Back
Top Bottom