M MteuleGM Member Joined May 10, 2010 Posts 91 Reaction score 28 Jun 3, 2010 #1 Wakuu, Kwa yeyote anayejua, naomba anisaidie utaratibu ninaotakiwa kuufuata ili niweze kusajili shule ya msingi mjini DSM, Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu
Wakuu, Kwa yeyote anayejua, naomba anisaidie utaratibu ninaotakiwa kuufuata ili niweze kusajili shule ya msingi mjini DSM, Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu