Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Nadhani muda muafaka sasa umefika kwa nchi zote duniani kuaga passport na mambo ya kustamp stamp na tuwe na kakadi tu kama national ID and info ukiingia nchini za watu zinarekodiwa digitali rather than hivi vitabu vya kurenew kila baada ya muda fulani, ambavyo kama unasafiri safiri sana in a year kimejaa.
What's worse hata kama unaenda Kenya tu mara kibao passport inajaa kwenda na kurudi tu kama kibiashara ambayo inachosha. Namibia na Botswana washaanza kuruhusu watu wao wasafiri na ID tu ya nchi zao which Tanzania na East Africa tungeiga then Africa yote then hopefully duniani we say goodbye to this outdated little book called passport.