presidentudom
Member
- Sep 22, 2014
- 21
- 7
ndugu zangu ni kwamba wadogo zetu hawaelewi utaratibu wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu ...ni kwamba kawaida tcu huteua wanafunz na kuvipelekea vyuo majina kwa ajili ya kuyaprove ...kwa hiyo majina yote hutolewa na vyuo na siyo tcu ..tcu wanakuwaga wa mwisho kutoa majina baada ya vyuo kutangaza wanafunzi wake note unaweza kuona jina lako tcu ila chuoni jina likawa halipo kuepusha mgogoro huo vyuo ndivyo vinalazimika kutoa majina kwanza kabla ya tcu ..nc day by president udom