Utaratibu wa kuwapanga wanafunzi vyuo mbalimbali

presidentudom

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
21
Reaction score
7
ndugu zangu ni kwamba wadogo zetu hawaelewi utaratibu wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu ...ni kwamba kawaida tcu huteua wanafunz na kuvipelekea vyuo majina kwa ajili ya kuyaprove ...kwa hiyo majina yote hutolewa na vyuo na siyo tcu ..tcu wanakuwaga wa mwisho kutoa majina baada ya vyuo kutangaza wanafunzi wake note unaweza kuona jina lako tcu ila chuoni jina likawa halipo kuepusha mgogoro huo vyuo ndivyo vinalazimika kutoa majina kwanza kabla ya tcu ..nc day by president udom
 
Sasa mm ntajuaje kama nmechaguliwa chuo gan na nimejaza vyuo vitano.
 
Prezdaa vp wale waliochaguliwa kusomea hapo udom odse mbn chuo hakija toa maelekezo pia hata bodi ya mikopo pia bdo haijatoa maelekezo?????????????????
 
Prezdaa vp wale waliochaguliwa kusomea hapo udom odse mbn chuo hakija toa maelekezo pia hata bodi ya mikopo pia bdo haijatoa maelekezo?????????????????

ingia website ya chuo ww. ustake kutafniwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…