hashim mwamba
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,018
- 1,105
Kwani kwenye uwanja wa TAIGA wamebadirisha wasimamizi wakeInaonekana uwanja wa taiga utaratibu wake ni mbovu sana kumbe
Ndio maana wajanja wengi wanawai mapema kama unataka kuingia kwa amani uwanja wetu wa TAIGAMimi nimepigwa rungu japo nilisimama mstarini. Maaskari walianza kurusha rungu hovyo kuna watu walitusukuma tokea nyuma. Nimeumia.mkono, japo maaskari waliniomba radhi na kunituhusu kuingia. Nimechukua namba ya askari aliyenipiga nataka nikamashitaki kwa boss wake anieleze kama kazi ya askari ni kupiga watu hovyo hata kama hawafanyi fujo.
Geti utajifungulia mwenyewe.Dawa kuwahi saa 12 asubuhi tuu halafu uone kama utakaa foleni
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Hii simu yako hatari kwa wanafunziGeti utajifungulia mwenyewe.
Tombatomba idevice Model TH 45
Hahah mkuu hii product ya visiwa vya shelisheliHii simu yako hatari kwa wanafunzi
Born townWakati jamaa kajichimbia Chattle, Mtoto wa Mjini alikuwepo Taifa!!
View attachment 541529
Mimi nimepigwa rungu japo nilisimama mstarini. Maaskari walianza kurusha rungu hovyo kuna watu walitusukuma tokea nyuma. Nimeumia.mkono, japo maaskari waliniomba radhi na kunituhusu kuingia. Nimechukua namba ya askari aliyenipiga nataka nikamashitaki kwa boss wake anieleze kama kazi ya askari ni kupiga watu hovyo hata kama hawafanyi fujo.
Wanapaswa kuweka utaratibu mzuri, yaani tuaxhe kazi za kuongeza kipato kisa kuwahi uwanjani?Siku nyingine wahi kufika uwanjani... Na vile vile wahi kutoka..
Virungu utavisikia tu kwa wachelewaji..!!
Mechi karibu zote kubwa na ndogo nahudhuria Taifa na vurugu huwa zipo tu.Unaonekana sio muendaji wa mechi kubwa.
Mechi imeanza saa 11,wenzako wameacha mambo yao saa8 wapo ndani ilikukwepa usumbufu
Haitikiwi kuwa hivyo...hizo changamoto lazima tuzimalize.Siku nyingine wahi kufika uwanjani... Na vile vile wahi kutoka..
Virungu utavisikia tu kwa wachelewaji..!!
Kumbe majibu unayo,huna haja ya kulia lia.Bure siku zote huwa ghaliMechi karibu zote kubwa na ndogo nahudhuria Taifa na vurugu huwa zipo tu.
Ni mechi moja tu Brazil na Tanzania ndiyo ilikuwa shwari kwasababu viingilio vilikuwa vikubwa sana na uwanjani watazamaji tulikuwa wachache.
Issue siyo kuwa na majibu bali hatutaki hayo ndiyo yawepo kila siku ktk mfumo wa mpira uwanja wa Taifa.Kumbe majibu unayo,huna haja ya kulia lia.Bure siku zote huwa ghali