Utaratibu wa Mawaziri kuteuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge kunainufaishaje nchi?

Utaratibu wa Mawaziri kuteuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge kunainufaishaje nchi?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kwa nini CCM iliupendelea huo utaratibu? Labda una manufaa kwa nchi?

Naamini kungeitishwa kura ya maoni, wananchi wengi, mimi nikiwemo, wangependelea utaratibu wa mawaziri kutokuwa wabunge.

Utaratibu huo ni kuuishi dhana ya kila muhimili kujitegemea.
 
Back
Top Bottom