jf user JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 777 Reaction score 623 Nov 8, 2018 #1 Habari wanasheria. Naomba mnijuze taratibu za ndoa za mitala kuhusu urithi. Kwa wanawake wanne kila mama ana watoto watatu. Nyumba zipo mbili kila wanawake wawili kwa kila nyumba.
Habari wanasheria. Naomba mnijuze taratibu za ndoa za mitala kuhusu urithi. Kwa wanawake wanne kila mama ana watoto watatu. Nyumba zipo mbili kila wanawake wawili kwa kila nyumba.
Jokajeusi JF-Expert Member Joined Jun 1, 2018 Posts 6,323 Reaction score 10,813 Nov 8, 2018 #2 Mkuu umechachamaa sana na jambo hili;