Ndigwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 210
- 59
Nimepatwa na kikwazo kuhusu usajili wa vyuoni kupitia NACTE, naomba waliofanikiwa hasa wale wa FTC, kwa sababu nimeshajaza maelezo mengine yote imeenda vizuri tu, ila nilipokuja kwenye FTC baada ya kujaza index number na mwaka wa kumalizia nikabofya kwenye continue nikapata message ifuatayo: Incorrect FTC Index Number or Your results are not in our system or You do not meet minimum requirement for admission as prescribed in admission guide book (Lower second (2.7 GPA)). Please contact NACTE (0767129132 or 0719222846 or 0767129134) for more clarification if otherwise.