Utaratibu wa NACTE/TCU

Ndigwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
210
Reaction score
59
Nimepatwa na kikwazo kuhusu usajili wa vyuoni kupitia NACTE, naomba waliofanikiwa hasa wale wa FTC, kwa sababu nimeshajaza maelezo mengine yote imeenda vizuri tu, ila nilipokuja kwenye FTC baada ya kujaza index number na mwaka wa kumalizia nikabofya kwenye continue nikapata message ifuatayo: Incorrect FTC Index Number or Your results are not in our system or You do not meet minimum requirement for admission as prescribed in admission guide book (Lower second (2.7 GPA)). Please contact NACTE (0767129132 or 0719222846 or 0767129134) for more clarification if otherwise.
 
I have exactly the same problem bro. kama upo Dar nakushari uende ofisni kwao coz nimewapigia simu hawapokei na nimetuma hadi e-mail bado hawajajibu!
 

mkuu inawezekana chuo chenu bado hakijapeleka matokeo yake nacte coz mpk ss kuna baadhi ya vyuo matokeo hayajaingizwa au yana matatizo. ila muhimu ukienda pale nacte kuanzia saa 4 watakusaidia ni vijana wako peace sn walinisaidia sana.
 
Jamani the same 2 me ! nimeambiwa masaa 72 kuanzia tarehe 15/5 mpaka leo jamani! nimeandika email hakuna response simu ndo kabisa hazipokelewi sasa kwa sisi wa mkoani inakuaje jamani si nitafunga safari kumi mpaka nimalize
 
NACTE imekuwa janga jingine, nimejaribu kuweka details za equivalent imegoma na hakuna option ya kurudi nyuma kwenye FTC page or diploma, any idea please on how to edit profile!
 
Mimi nimejaza nakufanikiwa vizuri isipokuwa kuna tatizo kwenye format ya index number, usitumie "/" tumia "-" halafu pia punguza zeros mfano u001/000023 unaweza andika tu u001-023
 
Mimi nimejaza nakufanikiwa vizuri isipokuwa kuna tatizo kwenye format ya index number, usitumie "/" tumia "-" halafu pia punguza zeros mfano u001/000023 unaweza andika tu u001-023

Samahan naomba nikutafute unisaidie kujaza hichi kikadi cha tcu kama hutoj
ali
 
Ukitumia "-" kuna ujumbe wa maelekezo kwa chini yake inasema "Index number should follow Uxxxx/xxxx format" any further assistance mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…