Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 349
- 678
Ongezeko inategemea ntu na ntu simba wa nyika aliyetangulia mbona hakuongeza, labda mama simba anaeza amua yeye atakavyoona au pengine ajipokea ushauri wa sungura wa puani anaeza ufanyia kazi lkn akigundua anasalitiwa kam kinyonga hawez Fanya ujinga ataacha wateskeπππ
Nadhani tayeri umepata muongozoHabari za wakati huu ndugu Watanzania!
Yahusu kuomba kufahamishwa juu ya utaratibu wa uongezaji mishahara kwa watumishi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu, nimekuwa nikisikia kuwa mishahara ya watumishi wa serikali huwa inaongezeka kila baada ya muda fulani.
Ningependa kujua ni kwa muda gani mshahara unapaswa kuongezeka na ni ongezeko kiasi gani linatarajiwa na mtumishi let's say mwalimu mwenye basic salary ya 750,000.
Nadhani tayeri umepata muongozo