unaomba kufanyiwa recategolization kwenda fani unayoipenda so unaandika barua ya kuomba hilo kwa mkurugenzi mtendaji then afisa utumishi au HR atakufanyia hilo ila mshahara utaanza na entry point ya hiyo fani yako mpya iwapo umebadilisha idara kabisa hutotakiwa kubakiwa na mshahara binafsi hasa endapo mshahara ulionao unauzidi ule wa entry point kwa proffesional hiyo mpya ila endapo utabaki katika idara ileile utaombewa kibali cha mshahara binafsi kwa katibu mkuu utumishi wa umma
[/QUOT nl
Na Kama nataka kuhamia sehemu ambayo haiko chini ya mkurugenzi mfano mi nataka kuhamia chuo Cha utumishi wa umma nafanyaje?