Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Aug 18, 2021 #1
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Aug 18, 2021 #2 Hadi wao wameanza kuogopa korona? Unafiki hautaisha hapa Duniani. Sasa wananchi hawawaelewi tena. Acha waeleweke kwa Wazungu huko. Korona hii ndo imefanya Marais wengi kupigwa chini kwenye chaguzi huko Duniani.
Hadi wao wameanza kuogopa korona? Unafiki hautaisha hapa Duniani. Sasa wananchi hawawaelewi tena. Acha waeleweke kwa Wazungu huko. Korona hii ndo imefanya Marais wengi kupigwa chini kwenye chaguzi huko Duniani.
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 5,736 Reaction score 18,648 Aug 18, 2021 #3 Hao si wamechanjwa? wanaogopa nini tena?
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Aug 18, 2021 #4 Hivi kweli wazungu wanataka kutuua si wangetuletea chanjo ya ukimwi?ya nini kuhangaika na makorona? Tena ya ukimwi ndio kila mtu huku afrika angeigombea? Tafakari nenda kachanje, achana na wapuuzi
Hivi kweli wazungu wanataka kutuua si wangetuletea chanjo ya ukimwi?ya nini kuhangaika na makorona? Tena ya ukimwi ndio kila mtu huku afrika angeigombea? Tafakari nenda kachanje, achana na wapuuzi