Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Habari za jioni wandugu?
Nina kijana amesoma kuanzia nursery hadi darasa la saba English medium schools. Matokeo yake masomo yote amepata alama A.
Amechaguliwa kwenda kusoma shule ya sekondari ya kutwa(sio za kata) Ila mwanangu anapenda sana kwenda kusoma shule ya bweni ya serikali.
Naomba mwongozo/connection ili kijana wangu afurahi.
Asante.