Utaratibu wa ujenzi wa nyumba katika miji na majiji

Utaratibu wa ujenzi wa nyumba katika miji na majiji

Joined
Jan 2, 2013
Posts
16
Reaction score
3
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA MKANDARASI HUSIIKA PAMOJA NA KIBAO CHA UTANMBULISHO WA MKANDARASI
MFANO NIMEKUTA KIBAO KIMEANDIKWA JINA LA MKANDARASI X ANAJENGA GHOROFA FULANI KATIKA MTAA MTAA Y’ kitalu namba “a”lakini katika dodosa yangu nimebaini yule mkandarasi kweli yupo ila sio yeye anayejenga ni mtu mwingine asiye na sifa sitahiki ila kibao kinatumika kumlinda mwenye jingo
…….tiririka wakandarasi..
 
Back
Top Bottom