Kuna viti vinaitwa 'women representative' ambapo ni wanawake tu wanamenyana, alafu chama ambacho kinapata wagonbea wengi (majority) na wachache (minority) wanafaa kuchagua wawakilishi wao wa viti maalum ikiwemo watu wenye disability, youths representative na wengine