Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Miaka ya hivi karibuni elimu imekuwa ngumu sana kwa watoto sikuwahi shuhudia.
Haya mabadiliko ya watoto kwenda shule mpaka Jumapili wanasoma hadi usiku huu utaratibu ni nani aliyependekeza na kuuanzisha? Makusudio ni nini hasa?
Huu utaratibu wa watoto kusoma mpaka usiku siku saba katika wiki, watoto hawapati hata muda wa kupata stadi za kazi majumbani wapo busy na taratibu za shule maisha yote ya elimu yao.
Nini sasa lengo watoto kukesha wanasoma muda wote tena kwa elimu yetu hii au kuna mabadiliko yoyote yamepitishwa?