Utaratibu wangu wa namna ya kupiga mswaki ni usafi au mtazamo tu?

Watu hawajui Kusafisha kinywa. Wanatumia miswaki ya kawaida, wanasahau kuwa kati ya meno mawili lazima kusafishwe pia. Kuna vitu viwili muhimu vya kusafishia yaani dental floss na hiki kifaa
Ni muhimu
 
Binadam buana tunajifanya wasafi
Ila tunaingia na midomo chooni [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…