Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa je yule mwizi wako akiamua kukutukana na kukudhalilisha zaidi itakuwaje? Kwangu mimi nadhani ni vizuri u-deal na mumeo, lakini kwa napenda kupata maoni tofauti ya watu.
1. Ukijua unaibiwa na ukipata contact za mwizi wako je utamcontact?
2. Kama wewe ndo mwizi wa mume wa mtu na mwenye mali kakushtukia kakupigia au kutext utareact vipi?
Nimeipenda hiyo red. Ningefurahi kama wewe ungekuwa wa kwanza kujibu.

Nitampaka kwa kwenda mbele, hata kama ni ukweli. (Siwezi sema matusi gani ntampaka hapa nitapewa ban si unajua tena JF na rule......tunga kichwani kwa niaba). As long as sikumuita mumewe kanifuata mwenyewe kwa sababu moja ama nyingine, ni juu yake kukaa na mumewe kuzungumza na kutafuta solution.
Pia nitamkumbusha kwamba wanamme wapo wengi, ila wapenzi ni wachache hivo "Tutabanana hapa hapa" - Natania wewe lol.
Btw, yamekukuta yepi mpaka kuja na maswali haya shosti?
Binafsi sijakutwa na any kati ya uliyouliza. Hapo juu ni kutunga tu, si unajua ninaishi uswahilini so vitu kama hivo vipo. (Mambo ya uswahilini uswazi), Khanga utavaliwa na taarabu utaimbiwa!
Mhhhh! Lizy! I reserve my comments 😉
wezi bana utawajua tu.
1. Ukijua unaibiwa na ukipata contact za mwizi wako je utamcontact?
2. Kama wewe ndo mwizi wa mume wa mtu na mwenye mali kakushtukia kakupigia au kutext utareact vipi?
Kuna hii tabia ya wanawake wakigundua waume zao au BF zao wanacheat na hasa wakipata namba za mgombea mwenza kupitia simu za waume zao, wanaamua kuwacontact wale wezi wao, sas mimi huwa nashangaa je yule mwizi wako akiamua kukutukana na kukudhalilisha zaidi itakuwaje? Kwangu mimi nadhani ni vizuri u-deal na mumeo, lakini kwa napenda kupata maoni tofauti ya watu.
1. Ukijua unaibiwa na ukipata contact za mwizi wako je utamcontact?
2. Kama wewe ndo mwizi wa mume wa mtu na mwenye mali kakushtukia kakupigia au kutext utareact vipi?
...niliwahi kuwa na binti mwenye tabia hiyo, bahati mbaya roho yake ilikuwa nyepesi...
...siku moja alimpigia 'mtuhumiwa' mwenye akili zinazomtosha mwenyewe akajibiwa " ndiyo, nishamchukua sasa wewe unasemaje!"... nilishtukia mtu anaanguka tu povu linamtoka mdomoni...
Ushauri wa bure, deal tu na mtu wako mwenyewe. Hata wanaume wengi huadhirika pale anapomkwida mwanaume mwenzake eti kwa kumtuhumu kutembea na mkewe, halafu anageuziwa yeye kibao na kupewa kibano cha kumtosha!
Live mkuu! hapa umeongea kweli...kabla sijasahau ngoja nigonge THANKS!HUYU MDADA, sijui Mkaka ni lazima atakuwa mwizi wa mali ya watu, sa anataka msaada wa JF ili ajua cha kufanya na msala wake...Otherwise you cant just figure out the situation,..why the hell?
1) Kama nimeibiwa na nimepata contact za mwizi wangu wala sitojiangaisha na huyo mwizi. Nitadeal na huyu mtu wangu, nitamwambia ukweli kwamba nimeona sms mtu kakutumia nataka kujua ni nani kwako. Hapo nitakuwa nimeshambana na kupata uhakika then action za kuchuniwa kama si kuachwa zitafuata.
2) Kama mwizi wa mume wa mtu hapo inategemea jinsi huyo bwana alivyoniambia status yake, kama aliniambia yupo single then leo hii napigiwa simu na kuambiwa mume wa mtu nitamuelewesha tu mkewe kwamba alinidang'anya kwamba yupo single ndio maana nikamkubali.