FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
hey kuna ka kisanga hapa kazini nilikiona dada mmoja kila siku alikuwa anakuta msg za malavdav kwenye simu za mzee akimuuliza anasema wrong namba hizi msg zinaingia kimakosa sio zangu mdada akawa na subira hatimaye akaamua kuchukua namba ya simu ya mwizi wake ..wakaanza ushost.. mala eeh uko wapi namna gani na kadharika ..kweli wakawa mafriend na wakakutana one day saloon..
Binti akamkaribisha mwizi wake home ...kashemsha hot water na kuweka kwenye thermos ..
mdada kaja kapewa kinywaji na binti akampigia mzee kuna mgeni wako ..mzee kuja kadondoka na kufaint ..kilichoenda ni ugomvi na kuishia kupelekana police ,makovu juu mwenye mali akimlalamikia mwizi wake kamvamia home kwake ..mwizi akaishia kulala ndani sijui kama bado wanaendelea na ka wizi kao