Oh wachezaji wa Yanga Njaa hv kwa shut Kama la Fei Toto kama una njaa unapigaje shut kaliiiii. Hahaaaaa Simba mmewewuka subirini Nkana aje "awamalize Yanga songa mbeleeeeeee mtasubiri sana viporo vyenu ambavyo havina faida na matumaini ya gori LA ugenini sijui mtajificha wapi