Utasimama kwa yupi?

Kwa huyo mwenye tepu maana sina wasiwasi na nzakali yangu atavutiwa nayo tu na kujitoa kwenye picha kuwa demu halisi tuondoke zetu
 
Dizaini hiyo ya choo kama funnel ile kupima maf'ta ya taa dukani kwa Mangi!
 
Mi ningesimama kwa huyo mwenye miwani anayeshangaa kitu
 
wote ni mali thangu ninyi ni mbwembwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…