UTATA: Fedha za mtu aliyekufa zilizopo kwenye benki au simu hupotelea wapi?

Hivi umeweka laki , miaka 15 kweli itabakia kuwa laki? si itakuwa imeshafyonzwa.
 
Kwa nini wababa wengi hawapendi kutoa password za Simu na akaunt za bank kwa wake zao???
 
Utasikia basi limeua wanne, pikipiki imeua sita au waliokufa Muhimbili wamefika 100 kwa mwaka jana ama meli ya Nungwi imeua 60.

Na hao ni wateja wa M-PESA, Tigo pesa na Airtel money.

Hela zao zinaendaga wapi? Kuna utaratibu upi wa kuwapatia survivorship au next of kin wao?
 
Za bank zikikaa kwa miaka15 bila account kufanya transaction yoyote zinachukuliwa kama mali iliyotelekezwa
 
Kwa bank ni ndugu kufatilia mali ya marehem kama ni mke watto au mme kwa mpesa hiyo ni mali yao
 
Mshirikishe mwenza wako nywila ya simu.
Ikitokea aweze kufanya chochote.
Ikitokea umekufa na simu haionekani....nenda kachukue hati ya kifo....ukaswap lain uchomoe mpunga
 
Bank ni hadi awepo mtu au ndugu afatilie. Ila huko kwingine kama hujashirikisha mke au ndugu ndo basi tena japo nasikiaga wanazirudishiga BOT
 
Gazeti la Mwananchi la jana lilikuwa na hili jibu, litafute!
 
Msimamizi wa Mirathi ndo anatakiwa afatilie hela za Marehemu kwenye mtandao wa simu ambao Marehemu alikuwa anatumia ila mitandao ya simu haina jukumu la kutafuta wahusika
 
tatizo masharti yaliyopo kwenye zile karatasi za kufungua akaunti hamyasomi
 
Hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…