Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
"Imezoeleka" kwamba mtoto anapozaliwa anahesabiwa kuwa na umri sifuri (zero/dash) na mzalishaji ndio huamua ni mda gani mtoto huyu alianza kuhesabiwa milisecond ya kwanza. Ni kama kusema "mzalishaji (au yeyote atayepata fursa ya kuwa wa kwanza kumuona mtoto, ndiye mwamuzi wa umri wa mtoto).
Utata wa kwanza unakuwa pale tunapokuwa na uhakika kwamba mtoto huyu ameshaishi tumboni kwa mama yake kwa miezi 9, lakini hatujumuishi umri huu katika umri wake "mpya"! Hapa tuwaulize wale wasiosupport utoaji mimba (nikiwemo mimi) Je ni sahihi kusema mimba ni kiumbe hai kisicho na umri? Je yawezekana kuna kitu au kiumbe kisicho na umri kinachoexist?
Na je umri huu mpya tunaopewa, ni wanadamu NDIO walitunga kanuni hiyo? (binadamu au sisi ndio mahiri wa kukosea katika hata mambo serious) au ni miungu ndio ilituwekea? (wao mara nyingi "TUNAAMINI" hawakosei.
Kama ni wanadamu wa zamani walitunga, Je hatujawazidi maarifa na ujuzi kwa sasa kiasi cha kutengua walivyovikosea?
Na kama ni miungu ilitunga, Je haina maana YOYOTE katika mimba na kilichomo ndani yake, Na je si wakati sahihi sasa kujenga dhana mpya ya MIMBA na HAKI ZA kilichomo ndani yake lakini ZISIFANANE NA KIUMBE KINACHOZALIWA.
Yaani mimba ihesabiwe kama sehemu ya mwili wa mwanamke na aruhusiwe kuwa na haki kama za nywele au kucha au vidole vyake!
Nauliza tu waungwana!